Mpe ushauri huyu dada!

amnajipya hata ivo ilo NENO tuu
"WANAINGIAMO" ni lugha flani yakifala hivi kukazia maneno
Hahahhhh huku lake zone ndio viswahili vyetu unakuta mo na ga ndio viambish tamati unaingiaga, unakulaga,? ukimkutamo,
 
Hahahhhh huku lake zone ndio viswahili vyetu unakuta mo na ga ndio viambish tamati unaingiaga, unakulaga,? ukimkutamo,
mnazingua aisee
kwasisi watu wa ukichimama nshale,ukikaaa nshale,ukikimbia nshale tunabaki na bumbuazi tuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…