Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Mpelelezi kesi Thabo Bester auawa

Huyo Thabo Bester ni nani?
Search youtube...
In short ni kaka ambaye amezaliwa huko SA akalelewa na bibi mzaa mama...wakati huo mamake alimuacha kwa mamake(bibi) yeye akaenda kutafta maisha J'burg...sasa bibi alikua mlevi sana wa pombe...mtoto hakupewa malezi mazuri...akaanza fanyiwa vitendo vya udhalilishaji at a very tender age... at 10yrs akaw mtoto wa mtaan rasmi.

Alipokua mkubwa akaanza warubuni wadada fb ..anawarubuni atawafungulia biashara..akiwapata anawaibia walichonacho...wengine akawa anawaua..alimuua gf wake hotelin kiutan utanj kwa bisu..akadakwa btn 2001 -2002 akahukumia maisha..lakini before hapo jamaa alikua tayari ana maisha mazuri alikua na kampuni ...bas jamaa akafungwa maisha..humo hump gerezan akaoganize bonge la mkutano lakini alitwist kidg majina yake...akamualika mwanamuziki maarifu SA Vyonne chakachaka...lakini yeye hakutokea live alionekana akiongea tu live kwa projector..akasema ameshindwa appear yuko Usa...kufupisha muda na wakati jamaa akapanga dili na gf wake Dk Nandipha Magudumana...huyu bibie alikia well off vibaya mno....alikua na makampuni ya urembo na hosp yake..bidada akaiba maiti 2 hapo hosp ..1 ikatelekzwa pemben ya mto.llikutwa na tag kbs ya hosp...nyinginr ikapelekwa jela kwa Thabo..ikaonekana Thabo amejilipua moto akafa... kwahyo lastbyr jamaa akafanikiwa kutoroka...ila alionekama supermakt moja na Dk Nandy anafanya manunuzi...jamaa akasepa na demu wake wakaenda telekeza gari mpkan wakayeya....waliikutwa Tz march mwaka hui wakijiandaa kuingia Kenya
Kjfupisha stry Dk Magudumana na Thabo inasemekana wamefanya dili chafu nyingi ila hii imebumbuluka...ingawa dalili ya wwao kuchomoka hiikesi inaonekana...
Baba wa Nandipha naye ameunganishwa kwa hii kesi kwasababu alikua boss wa G4S..kampuni ya ulinzi iliyokua inalinda gereza alilotoreka Thabo ..na Thabo aliomba akae mwenyewe .alikua anaishi maisha ya kifahari balaa na inasemekana wknd alikua anaenda kuruka majoka Element za SA na samaki samak8 za huko...na jamaa mpk ss yuko vyedi...anavaa brands tupu
Mama mtu alipohojiwa alikiri kuwa mbal na mwanaye..akaomba amsamehe..na Thabo ni kama alimtrlrkza mamake..maana mama ake anaishi maisha ya kawaida mno hapo SA...
ALiwahi hojiwa huko nyuma 200's akasema alikua anaua wanawake coz alikua ana hasira ya kutelekzewa na mamake
Ni kwa ufupi sana
 
Asante sana mkuu sasa nimeelewa ulivyoandika yaan kama movie flani hivi.
 
Kumbuka Nandipha alikua na ndoa yake .na watoto 2 ..watoto akawapeleka boarding kabla ya kutoroka na Thabo na mumewe ndo huyo "Magudumana" ... wanawake wenginr wanapendaga bad boys .nadhani na Nandhipha kaangukia hapa kwa mhuni Thabo🙌
 
Back
Top Bottom