Elections 2010 Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea

Elections 2010 Mpendazoe afunika mdahalo wa wagombea jimbo la segerea

nyamate

Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
25
Reaction score
0
Leo kulikuwa na mdahalo wa wagombea wa ubunge jimbo la segerea,wagombea waliobahatika kuhudhuria ni wa TLP,CUF na CHADEMA.
Waliousikiliza kupitia wapo radio ni mashahidi zangu MPENDAZOE yuko makini.Nikipata picha nitawawekea mkanda mzima.
 
Ukweli ni kuwa ukiondoa kuchakachua matokeo Dar yote ni Chadema CCM na CUF wataambulia madiwani tu
 
Ukweli ni kuwa ukiondoa kuchakachua matokeo Dar yote ni Chadema CCM na CUF wataambulia madiwani tu

Kwa kugangamala mazee!! Bila hivyo, wakina Shimbo na wenzake watavunja watu nyonga kuahahkikisha mkulu anarudi Magogoni.:llama:
 
Back
Top Bottom