Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

kwa wizi huu wa wazi pls mh slaa wapeleke mbele ya sheria makongoro arudishe nafac fasta aache utani na ss
 
CCM sio mashetani.....ni zaidi ya mashetani!!!!!! ngoja nawatafutia jina linalowafaa, subiri kwanza
 
You don't know what you are saying; I just hope you are kidding ingawa kuna mambo mengi sana tu ya kufanyia mzaha. Siipendi CCM na njama zake chafu lakini I don't support anyone who advocates violence.

Really there is nobody with sound mind that supports violence, but you need to get prepared for violence when it is inevitable.
 
murderers, vandals, squirels, marijuanists, drunkards, moving-septic-tanks, puppets, day-time-killers, pocupines, assasins, deadly enemies, cold-blooded-reptiles.
 
DR. wa ukweli kasema uchaguzi wa raisi urudiwe, lakini kwa ubabe uliopo, mhn nina shaka kuna mtu anasikia, jamaa wanategemea nguvu za dola kuhalalisha dhuluma yao, naogopa kama Dr. uzalendo ukimuisha na kuruhusu nguvu ya uma kutimiza wajibu wake, sijui kutatokea nini ! ? Tanzania na watu wake jamani ni binadamu wale wale kama walioko sehemu nyingine duniani ambako kwa nguvu ya uma watu walisimama na kun'goa tawala dhalimu. Hatuko special hivyo kwamba hapa kwetu hayawezi kutokea, mhn mungu epusha lakini itategemeana na hawa wakubwa wetu, wakifanya masihara cha moto tutakiona safari hii.
 
Inauma sana Bwana!
Tusikate tamaa, manake wao wanataka tukate tamaa, lakini kila kitu kina mwisho.
Big-up Chadema, Big-up Dr. Slaa.
 
Jamani ni mwazo tu wa mabadiliko, lazima Watanzania waamue kuchukua hatua bila ya uoga kudai haki Yao.
Tunavyo zadi kuchelewa tutatawaliwa na watoto wa MAFISADI eg rith1 nk....
Twendeni mahakamani ingawa sidhani kama wataheshimu haki zetu .
 

wananchi wametumia njia ya usitaarabu lakini NEC na CCM wamekataa

NJIA INAYOFUATA NI NGUVU KUINGIA MTAAN
 
Kumbe una facts si uende mahakamani... Dr. Slaa mbona unataka kutuyumbisha bila sababu za maana.
Unfortunately sheria zetu hazikubali mtu akidhulumu urais umpeleke mahakamani. You must find another way around. Na ikiwa sheria hainyoshi la kufanya sasa watu wafanye nini????
 
murderers, vandals, squirels, marijuanists, drunkards, moving-septic-tanks, puppets, day-time-killers, pocupines, assasins, deadly enemies, cold-blooded-reptiles.

Hahahahaaaaaa, ooh.. god!
 
Huo si ndio ushahidi kama kweli? Waende mahakamani!
mahakama ipi????? upuuzi tu.
usalama wa taifa umegeuka usalama wa ccm......tume ya taifa ya uchaguzi imekuwa wakala wa uchaguzi wa ccm kwa kushindisha wagombea wa ccm kwa lazima....pccb imekuwa ya ccm....nini kitazuia mahakama kuwa ya wakili wa ccm?
hakuna kwenda mahakamani wala nini...
kabla ya kwenda koote huko tunataka majibu kutoka huko kwa wanaoyachakachua.
 
CCM = Choma Choma Mkuuuuuundu..... wezi wakubwaaaaa
Nina mashaka nina uelewa wako, hapa JF siyo mahali pa genge la wahuni. Ipo siku kwa mtindo huu ujinga huu ukiachiwa utakuwa kuicost JF. Hakuna duka la ustarabu duniani.
Nakubaliana asilimia zote utoaji wa matokeo umekuwa ni wa kimizengwe sana na hii si dalili nzuri kabisa kwa mustakabali wa demokrasia. Haingii akilini majimbo ambayo kama Segerea, Ukonga ambapo unaweza hata kukusanya matokeo na baiskeli usimalizze siku mbili lakini hali inakuwa ya ubabaishaji wa hali yaa juu kabisa.
 
Mkuu take easy bro, huko wenda mbali.

Si kwenda mbali mkuu. Hawa wanasiasa walishawaona wananchi wooooooooote ni makenge tu na majuha kiasi kwamba wananchi hawawezi kuwafanya wao (wanasiasa) chochote.

Imagine, mtu kama Wenje, Godbless Lema, Mwanyika etc CCM walikuwa wanawaona tangu mwanzo, ila kwa kuwa CCM wameshalewa madaraka na wanajua wananchi ni majuha 100%, CCM walirelax tu mpaka siku matokeo yanatoka ndo wanashtuka na kuanza kuwatafuta hawa wapinzani walioshinda ili KUHAHONGA na kuwashawishi waachie majimbo. Si dharau hii? Sasa hivi tunavyopost mada humu, wao wapo jikoni wanapika data kwa raha zao, ready to sworn in the man himself (JK) on Friday - kwa raha kabisa huku wakijua sisi tutanung'unika tu na kupiga makofi

Tusipofanya kitu, story itakuwa ni hii hii tu come 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 mpaaka sote tuliopo sasa tutakufa na wajukuu zetu wataendelea kupigwa machanga ya macho tu afterall hata sisi wazazi wao tulikuwa tumeshazoea life style ile.
 
ila kweli na mimi nimechoka! ah! kama noma na iwe noma tu, bora tulitifue ili wajue kuwa tumechoka tu
 
First borm n last born wangapi wanapotea kila kukicha kwa huduma duni za afya? wapendwa wetu wangapi wanafariki kwa kukosa huduma muhimu? kunahaja ya kupeana bapa za mapanga ili hawa madhulumati watie akilini kuwa wao si special kuliko wanadamu wengine...
 
ukweli ni kwamba makongolo jana kajikojolea mbele za watu, na akina mama wakamwambia hawataki mbunge kikojozi, na kwa hili CCM wanahitaji nguvu ya umma.
 
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Nyamafu.....Mawakala kazi yao nn...unafikiri watu wamelala kama wewe hapa tunaongelea Maslahi ya nchi Sio ushabiki wa simba na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…