Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You don't know what you are saying; I just hope you are kidding ingawa kuna mambo mengi sana tu ya kufanyia mzaha. Siipendi CCM na njama zake chafu lakini I don't support anyone who advocates violence.
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.
Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it
Unfortunately sheria zetu hazikubali mtu akidhulumu urais umpeleke mahakamani. You must find another way around. Na ikiwa sheria hainyoshi la kufanya sasa watu wafanye nini????Kumbe una facts si uende mahakamani... Dr. Slaa mbona unataka kutuyumbisha bila sababu za maana.
murderers, vandals, squirels, marijuanists, drunkards, moving-septic-tanks, puppets, day-time-killers, pocupines, assasins, deadly enemies, cold-blooded-reptiles.
mahakama ipi????? upuuzi tu.Huo si ndio ushahidi kama kweli? Waende mahakamani!
Nina mashaka nina uelewa wako, hapa JF siyo mahali pa genge la wahuni. Ipo siku kwa mtindo huu ujinga huu ukiachiwa utakuwa kuicost JF. Hakuna duka la ustarabu duniani.CCM = Choma Choma Mkuuuuuundu..... wezi wakubwaaaaa
Mkuu take easy bro, huko wenda mbali.
ccm ni mashetani wakubwa! Walaaniwe na Bwana wa majeshi
First borm n last born wangapi wanapotea kila kukicha kwa huduma duni za afya? wapendwa wetu wangapi wanafariki kwa kukosa huduma muhimu? kunahaja ya kupeana bapa za mapanga ili hawa madhulumati watie akilini kuwa wao si special kuliko wanadamu wengine...Mkuu, najua umeudhika sana kama mimi na nimekugongea kasenki hapo juu lakini hapo kwenye nyekundu... mmm hapana.
Embu imagine panga liangukie kwenye kichwa cha kale ka-last born kako unakokapenda sana na kukimega katikati vpiande viwili.
Just imagine!
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee
Nyambari uu bogas kiasi icho ulimwengu huu unauliza swali kama ilo wakati Slaa anapata mpaka signed docs za ikulu