Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Juzi amenibadilishia gari.

Mpeni hongera mjomba wenu amejipinda si haba.

Naomba wenye makasiriko msicomment. Hapa ni furaha tu chuki, masononeko, hasira, wivu havihitajiki.

Ni mimi shangazi yenu "amu"
nimeupdate:Nimetoa risiti nilizoattach mwanzo.
 
Nipo nervous...
Sijaingia barabarani mpaka leo.
Sijawahi endesha gari kubwa hata sekunde moja.
Nimezoea IST na ndugu yake VITZ.
Sasa hii nadhani nahitaji kwanza kuingia usiku barabara ambazo hazipo busy kwanza nione itakuwaje.
Hongera sana Aunt na Uncle
 
Nipo nervous...
Sijaingia barabarani mpaka leo.
Sijawahi endesha gari kubwa hata sekunde moja.
Nimezoea IST na ndugu yake VITZ.
Sasa hii nadhani nahitaji kwanza kuingia usiku barabara ambazo hazipo busy kwanza nione itakuwaje.
Usiku ndio huwa kuna ajari nyingi ni vyema ukaingia mchana tu
 
Back
Top Bottom