Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

Ni

Kweli mkuu.
Ni kati ya hayo.
Inanipa wenge mno.
Mdogo mdogo ingia nayo asubuhi mapema kabla ya foleni, safari moja ya kwenda na kurudi tayari unakuwa umeijua hasa pale kwenye kukanyaga mafuta na breki.....wiki ya kwanza kuwa mvumilivu kwenye ku-overtake......pia unaweza kuweka alama ya 'Learner' siku mbili, tatu hivi...
 
Woooooooooowwwwww!!!!!!!

Shangaziiii naomba nije kukusaidia kuizindua. Mpe hongera sana mjombaaa kwa kukujali na kukupenda kweli.

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Aunty where are you?
 
Mtoa mada ashanielewa😅
Aniweke tu kwenye Bucket list siku akitamani kupata tabu sana anistue tu.
Anajua namuelewa🏃
Hivi nani aliyekuambia wanaotoa magari wanasifa hizo ulizosema?
Na nani alikudanganya anayetoa gari ni lazima achapiwe?
 
Hongera mpendwa...ungeweka picha ili tukikuona barabarani tusimamishe kuomba lifti
 
Hongera sana, nyakati hizi kuna vidume ukwasi wao unaongezeka hadi "kuhonga wake zao". Mimi nitakuwa naomba lift tu mama...
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Haikuwa na ulazima saana kuwafikidhia wanajamvi sema sio mbaya...Honger!
 
Back
Top Bottom