Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

Hongera Amu, pika lile pilau lako utupie picha kwenye uzi wetu wa vyakula, tule kwa macho tusherehekee kwa pamoja.

Kupewa raha wewee!
 
Kumbe Alphard sio ghali sana nilikuaga nahisi lina bei kweli kweli
Show room nyingi ni 22.
Pale JanJapan tulikuta 19.5.
Tukashuka nao mpaka 16.tulikuwa na dalali wa hapo Jan.
Akanitonya mtu akiuliza niseme tumechukua kwa 20.
 
Show room nyingi ni 22.
Pale JanJapan tulikuta 19.5.
Tukashuka nao mpaka 16.tulikuwa na dalali wa hapo Jan.
Akanitonya mtu akiuliza niseme tumechukua kwa 20.
Huyo dalali naomba connection nae
 
Show room nyingi ni 22.
Pale JanJapan tulikuta 19.5.
Tukashuka nao mpaka 16.tulikuwa na dalali wa hapo Jan.
Akanitonya mtu akiuliza niseme tumechukua kwa 20.
Sasa nawewe dalali nimekwambia sema 20 ushasema 16😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…