Mpenz namiaka 2 naye anakataakusex na mimi..

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,001
Reaction score
6,194
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.
 
Walokole hawafanyi kabla ya ndoa, tangaza ndoa utapata mzigo bila matatizo
 
Kwani kutokukubalia kusex ndo hakupendi? Angalia njia nyingine ya kumweleza au subiri hadi umuoe.
 
kufanya ngono si kipimo cha penz au kupendwa au upendo. kama uko serious anza taratibu ili iwe halali
 
Mwanamme KAMILI ... Hakamilishwi kwa Sex! Do you get ME? ... You just do it if SHE Insist!!
 
kuwa makini nayeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
endelea kushika pembe wakati wenzako wanakamua maziwa
 
Km ni mabint wa .com unagongewa, ni nani anashikishwa guard miaka hii ya Nyota ya kijani?
 
Mtekenye alafu unamrukia kama tumbili arukiavyo tawi.
 
nimeshajitambulisha kwao bado haniamini mpaka nahisi anatatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…