Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.

dah!miaka miwili ndo
unalalamika?mi wng huu mwaka tunaenda wa sita hatujawahi kusex,cha
muhumu ni malengo yenu tu