Mmmmmmmhhhhhh!!!! Unakumbusha mbaaaali saaanaaaa,ila sina hakika kama nawe yatakuwa kama yangu That's my experience,na hakika inataka moyo tena ujikaze vilivyo. Wala siyo hadithi,hao wadada wapo japo wengine zuga hamna lolote wala nini,mi nilivumilia kwa four Years+,after that nikapewa and it was real na kwa bahati nzuri she is the one having my ring today,I mean we're married. Japo upande mwingine,anything can happen. Mshikaji wangu mmoja,alivumilia for two years,kila mara anaambiwa hadi tuone,oooohh sipendi kumkosea mungu.jamaaa katinza sana na ada kalipa,kuja stukia mchezo jamaaa yake wa karibu anakula mzigo mbaya tena hadi kiaraabu. Mkuu hapo ni ww,kama nia ni kuoa vumilia,ila kama ni kupiga kazi amsha faster,tena usigauke nyuma maana pana jambo mungu anakuepusha nalo. Ni hayo,huo ndy uzoefu wangu na hakika umekumbusha mbaali kinyamaaaaaaaaaaa