Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
 
I got ya content nigga.......!!!!
 
we jamaaaa sio wa kawaidaa
 
Kwani huyu binti anakuchukuliaje mpaka akwambie kwamba ametiwa?halaf kama hii stori ni ya kweli huyo anampenda sana jamaa na hajiwez kwake na atakuwa anarudi kwa jamaa kila jamaa atakapomuhitaji
We Acha tu. Nilipoteza faham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…