Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Kuna siku mpenzi wangu alikuwa ananiambia kwa hasira namna ex wake anavyomzushia mambo ya uongo..

Akasema atamfuata huko huko akamzingue ili ashike adabu yake..

Nilitafakari nikasema hapana. Ukienda huko lazima mkulane.

Nishawahi kuliwa na ex niliyemfuata kwa shari katika mazingira ya kutatanisha!

Hizi mambo zipo...
Umenena ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_2018-08-20-15-13-52-1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ww ni kukumdogo kuku wakubwa hawapo hivo
 
Back
Top Bottom