Simlaum mleta mada ila nyie wanawake hamfai,
Kuna x wangu mmoja cku akiwashwa alkua akiletwa na jamaa yake na gari anasingizia anakuja kumsalimia rafki yake ambae tulikua tumepanga nyumba moja, na jaama ake alkua anapenda sana pombe akimleta anaingia anatoa salam huyoo anawah grosary jiran kula pombe sisi huku tunafanya yetu, siku cjui alkua anahis kaaga vizuri km kawaida mara ghafla karudi namuona yule anakuja na anatuona ila demu alkua hajamuona maana tulikua tunataniana mlango kwangu, nilimnasa kibao cha maana na mateke juu ile x anataka kuuliza nampigia nn jamaa keshafika kanisukuma hd chini kuuliza kulikoni nkasema namdai laki 6 yangu alkopa kipindi anakaa na rafiki ake hapa af kanikimbia leo ndio nmemkamata, nikaingia ndani nkatoka na sime, jamaa kuona vile akasema ngoja nkalete hy ela akataka kuondoka na dem kwenda atm nkagoma na mikwara kibao, jamaa kawasha gari kwenda atm na ilkua mbali kdg tukaingia ndani tukafanya yetu, kaleta laki 6 nkaweka mfukon.