Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Yani kuna watu humu badala ya kumuonea mwenzenu huruma ndomnazidi kumpa machungu
 
Kuna Uzi zingine , ni Tabu .hiv mwanaume mzima unaweza Fanya kitendo kama hicho,,,,,,,,,,, et unamsindikiza dem akampe makavu x wake ,,, hahahahaha
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] , sina cha kuandika nimeishia kucheka tu,, HII CHAI MKUU
 
Na Bado ulimruhusu Apande gari yako kweli wewe Fala yaani umemsindikiza Kaliwa kisha ukabeba demu na Mishahawa ya jamaa ukapeka kwako, Aisee wewe chizi na ndo anakuambia kuwa katiwa sasa sijui wewe ulimwambia Pole huyo lazima akusumbue sana Coz anajua huna ujanja kwake sasa Subiri kushuhudia akitiwa chumbani kwako
 
Tata mwambie Huyo ,,,atakuwa mwanaume wa kusini siyo mara
 
Hahahaa kuku umemsindikiza mwenyewe machinjioni wamekula nyama yote.
 
Bwahahahahaaaaaa hahahaaaaaa hahahaaaa....daahhh jf mamaeee"" shukuru Mungu" lasivyo na wewe ungetiwa....hahhaaaaa hahhaaaaa ...daaahh umenivunja mbavu aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unapata nguvu gani ya kumsindikiza mpenzi wako kwa ex wake eti akampe makavu makavu yapi kuna wanaume wapole sijui kama mleta mada yaani hata sijui nimuweke kundi gani
sio upole" acha kufananisha upole " na mambo ya kijinga mkuu ..huyu ni zoba "" hahaa ati demu anamwambia kabisa yaani kuwa ametiwa"
 
Na Bado ulimruhusu Apande gari yako kweli wewe Fala yaani umemsindikiza Kaliwa kisha ukabeba demu na Mishahawa ya jamaa ukapeka kwako, Aisee wewe chizi na ndo anakuambia kuwa katiwa sasa sijui wewe ulimwambia Pole huyo lazima akusumbue sana Coz anajua huna ujanja kwake sasa Subiri kushuhudia akitiwa chumbani kwako
hahahaaa
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Hhhhhhhh alkua na genye tu huyo ww umeshindwa kumtoa
 
Back
Top Bottom