Mpenzi aliye "busy" siku zote

Stop being so needy

Give him time, value yourself

Some time being so needy make him more disinterested

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We m kuna hyo jamaa aliniganda miaka minne jamn najitahd kumuonesha dalili kuwa aage mashindano lakn jamaa yumo tu mpaka nkawa najiulza hyu anataka anitoe kafara ama sasa hyu bibie nilivoona anataka atamkiwe na nna iman akitamkiwa anaeza omba msamaha asiachwe[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio we unasubiri kuambiwa usiyopenda kuyasikia toka kwa mwanaume? Ni kichaa pekee atakaeweza kukwambia huo ukweli mchungu...inshort utasubiri sana kuambiwa hana nia na wewe huku ukipata maumivu ya kukaangwa na kuchemshwa moyo wako!
Nmekwambia n mgumu kuaga mashindano hyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntajiongeza..
Nko kwenye maumivu ni kama donge linanikaba kifuani
I'm tired kwa kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpenzi kichomi, mie naona ni kama vile unashindwa kujiongeza. Wengine huwa hatuwezi kuacha moja kwa moja kwa kumwambia mtu "tuachane".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee...[emoji15]

"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…