Mpenzi aliye "busy" siku zote

Nasubiri jibu lake nihitimishe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubiri sana
Wakeup lady
Unaonekana king'ang'anizi sana
AMeshakusoma tena kama hamna mda mrefu anaona ajitoe mapema

Mi niliaga na mtu kama hyo
Nkaamua kumblock kona zite ili ata akinimis asipate pakunipata
Tokea last year january, huwez amin juz ndo nimekuta text yake tena kwa namba mpya
Huoni jins alivyokua hanipendi???
Mwaka mmoja na nusu imagine

Move on usiangalue nyuma biNti
 
Asikwambie mtu,labda kama huna ndoto yoyote maishani, muda haupo kabisa

Wanaojifanya wana muda Sana ukute kaajiriwa tena ni mzembe wa kufa mtu,hafanyi kazi, 24/7 ni kufungua social media platforms kuangalia umbea tu,anaenda kazini ili apate mshahara ili maisha yaende(aweze pata hela ya pombe na Kula kwenye mgahawa mzuri)Hana cha kupoteza, ameshakubali kufa maskini.

Yaani niwe na muda na demu niache kazi zangu? Mke sawa
 
Ningesema neno kama usingeweka 'degree zetu moja'..!!
Enwei, shukrani kwa baraka mkuu.!!
Ahahahahha..Hapana huo ni mfano tu kuonyesha comparison za vigezo vyenu mnavyotumiaga nyie viumbe
 
Ningesema neno kama usingeweka 'degree zetu moja'..!!
Enwei, shukrani kwa baraka mkuu.!!
Ahahahahha..Hapana huo ni mfano tu kuonyesha comparison za vigezo vyenu mnavyotumiaga nyie viumbe
 
Ningesema neno kama usingeweka 'degree zetu moja'..!!
Enwei, shukrani kwa baraka mkuu.!!
Ahahahahha..Hapana huo ni mfano tu kuonyesha comparison za vigezo vyenu mnavyotumiaga nyie viumbe
 
😂😂😂
Tena bora awe mrefu sasa akiwa mfupi afu yuko busy ni changamoto zaidi..
 
Mtu akiwa busy maana yake si hakupendi. Someni alama za nyakati na msepe mapema, msilazimishe mapenzi.
 
Yan unashindwa jiongeza mdau...huyu anakula mzigo tu hakupend wala nn
 
Umemuoa???
 
Ashakuchoka au hakupengi. huo ndio ukweli maana pia hiyo huwa tabia yangu na wanaume wengi akiwa hana tena time nawe.
 
Kwa ufupi tu, hupendwi hapo ni kama una sumbua watu tu. Mtu akupendaye kweli hawezi kosa muda nawe hata wa dakika chache jiongeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…