Ni gharama pia,kila siku lazima mpigiane simu,kama ndo umbali mkubwa mweeh kazi ipo.
Ni gharama pia,kila siku lazima mpigiane simu,kama ndo umbali mkubwa mweeh kazi ipo.
Acha tu ya usaliti... Kama kweli wampenda kweli siwezi recommend... Ni MATESO! Dah!
Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandiI feel like we are in the same boat....lol
Mateso yapo kwenye mapenzi na kama unaona mwanaume anakujali ni bora kutulia na kutomsaliti
Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandi
Ni mhanga wa hii kitu,kwa siku simu si chini ya marambili,na ni kila siku.Sasa hiyo gharama,kama kuna uwezekano wa kuwa pamoja bora wawe pamoja tu.Ulijuaje wewe??hujakosea ni kweli gharama kama mpo mbali au nje ya nchi
Papizo it is not that simple... Hivi wanaosaliti unafikiri wanapanga sasa naenda kusaliti?
Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandi
I do not buy this idea,it depends na wahusikakumbuka asiyekuwapo machoni na moyoni... Na mapenzi ya mbali ni the same