mpenzi aliyembali na wewe...

mpenzi aliyembali na wewe...

majogajo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
317
Reaction score
44
hv unaweza ukaishi vipi na mpenzi uliye mbali naye? yaani umfanyie vitu gani ili asikusaliti ktk love yenu?
 
kwa wewe ni she lazima usalitiwe kinachomatter ni komitment ya he kwenye mahusiano kama yuko komited inatosha atakachofanya huko mwache ajibebe ila mkumbushe usalama tu.

Kama ni wewe ni he, at least she wana uwezo wa kuvumilia ukicheza na saikoloji vizuri.
 
hamna lolote mapenzi ya mbali nikujidanganya tuu.....wewe akishahama mkoa basi na uhusiano ndio umekwisha huo
 
Mkuu hiyo ni changamoto. Kama kweli uko siriazi na uhusiano/ndoa, yabidi kujitoa hasa kufanikisha.Kumbuka kuwa kina mama wengi wanaweza kuvumilia shida zote/kuacha vyote kwa ajili ya ridhiko hasa la kujaliwa na kujamiiana.Kikubwa ni wewe kujitofautisha na vidume vingine kwa kuongeza ufanisi kwa hayo niliyotaja.Mwanamke akiridhika na hivyo, atakusubiri.Kwa sababu ya kutafuta maisha ndoa nyingi leo ziko katika mtindo huu wa kuishi mbalimbali. So it is up to you to be ready to sail in the same same boat.Hiyo ni kwa upande wa wanaume.
 
Acha tu ya usaliti... Kama kweli wampenda kweli siwezi recommend... Ni MATESO! Dah!
 
Kama kunamapenzi ya kweli hakuna kusalitiana umbali si sababu. Chamuhinu ni mawasiliano ya mara kwa mara lakini pia ukumbuke kurudi kwani physical contact in important
 
Ni gharama pia,kila siku lazima mpigiane simu,kama ndo umbali mkubwa mweeh kazi ipo.
 
Acha tu ya usaliti... Kama kweli wampenda kweli siwezi recommend... Ni MATESO! Dah!

Mateso yapo kwenye mapenzi na kama unaona mwanaume anakujali ni bora kutulia na kutomsaliti
 
uwe na kazi ya ziada ya kukeep mawasiliano alive,ila siku hizi kuna mitandao kama skype inarahisisha mambo.....
 
Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandi


EXACTLY!!! Hua tu sipendi kihoma cha kutopigiwa simu siku hio.... Dah! Naona niachie hapo.... Pole Fe lady naamini you(we) will pull thru....
 
kumbuka asiyekuwapo machoni na moyoni... Na mapenzi ya mbali ni the same
 
Ulijuaje wewe??hujakosea ni kweli gharama kama mpo mbali au nje ya nchi
Ni mhanga wa hii kitu,kwa siku simu si chini ya marambili,na ni kila siku.Sasa hiyo gharama,kama kuna uwezekano wa kuwa pamoja bora wawe pamoja tu.
 
Papizo it is not that simple... Hivi wanaosaliti unafikiri wanapanga sasa naenda kusaliti?

Ni kweli kabisa, saa zingine hiyo kitu pia inaumiza kichwa maana kama upo mbali na mwenzi wako unaweza kufikiria anakusaliti au vipi,ila ni kweli hamna anayepanga kumsaliti mwingine sema ugumu saa zingine unasababisha pia,So hapo kama wewe unashauri watu wa hivyo wafanye nini??
 
kumbuka asiyekuwapo machoni na moyoni... Na mapenzi ya mbali ni the same
I do not buy this idea,it depends na wahusika
Kuna wengine mpo machoni,lakini mioyoni mpo mbali
 
Back
Top Bottom