EXACTLY!!! Hua tu sipendi kihoma cha kutopigiwa simu siku hio.... Dah! Naona niachie hapo.... Pole Fe lady naamini you(we) will pull thru....
hahahaha,JF haijui kabisa,hata facebook hatumo.Huyo yuko busy na michoro kupita maelezo.Bado tu hujarudi?
niko busy namPM mwekee ulinzi wa Eliza wa Tegeta
Ni mhanga wa hii kitu,kwa siku simu si chini ya marambili,na ni kila siku.Sasa hiyo gharama,kama kuna uwezekano wa kuwa pamoja bora wawe pamoja tu.
Ni kweli kabisa, saa zingine hiyo kitu pia inaumiza kichwa maana kama upo mbali na mwenzi wako unaweza kufikiria anakusaliti au vipi,ila ni kweli hamna anayepanga kumsaliti mwingine sema ugumu saa zingine unasababisha pia,So hapo kama wewe unashauri watu wa hivyo wafanye nini??
kumbuka asiyekuwapo machoni na moyoni... Na mapenzi ya mbali ni the same
Ni kweli wakati mwingine unakuwa na mawazo negative juu ya mwenzako,but you have to eliminate them,be Positive ukisali zaidi,soma biblia kama ni mkristo,Quruan kama muislam ukiamini soon mtakuwa pamoja.Ni kweli hujakosea simu ndio inachotakiwa na pia vile vile sio kila siku kwamba unaweza kuwa na credit au utakuwa vizuri kihela,so pia hata skype inasaidia sana aisee,mimi mwenyewe nipo humo humo saa zingine nachanganyikiwa,ni kweli ila kama mmetoka mbali nadhani bora kusubiriana maana siku hazigandi na kila kitu kina mwanzo na mwisho..
watu... circurmtances za mahusiana na wapenzi wao.... mda wa kua mbali... aina ya mahusiano... Vyoote hivi vimetofautiana from one relatiionship to another; hio yaweza pelekea kua sio ushauri mmoja waweza wafaaa woote. Kikubwa labda nigusie ki/vitu ambavo huchangia mtu kusaliti.
- Upweke as in ile hali ya kujisikia kama sasa huna umuhimu.. kama vile alo mbali wahisi hajali anymore. For kama tuelewavyo mpenzi ana nafasi kubwa ya kurejuvinate high spirits ndani yetu wanadamu.
- Hamu ya kimwili.. hii ni hasa ya wanaume. wanawake nao wapo but mara nyingi sio wanawake wengi wanabahati ya kufurahia/penda hilo tendo kua mpaka alimiss kwa mda mfupi.
- Communication break down... kati ya wapenzi, aither mmoja analega ama kutoonesha kujali....
- There may be more but niishie hapa...
Kitu gani mtu afanye asisaliti? Ni kazi saana kulijibu, Ukiwa na such an attitude ni as if umepanga kusaliti sasa ndo una nurse moyo wako kwa kujiuliza hilo swali....
Poleni sana mabinti, msikate tamaa wala msisononeke kwa hili suala la umbali.Naomba mkijihisi wapweke mniPM naahidi kujitahidi kuondoa maswahiba yenu au walau kuyapunguza, tupo watu wengi sana humu jamvini wenye mioyo ya huruma na ukarimu kwa mfano Bujibuji, Ndoko, Nyaningabu, The Boss na wengine wengi.Yaani we acha tu,it is really difficult.I'm a victim mweeh! Thank God siku hazigandi
EXACTLY!!! Hua tu sipendi kihoma cha kutopigiwa simu siku hio.... Dah! Naona niachie hapo.... Pole Fe lady naamini you(we) will pull thru....
huwa ninahicKumbe tupo wengi jamani,ila ndio hivyo cha muhimu mawasiliano tu na kuwa kwa karibu zaidi ndio kinacho matter, inauma ila ndio hivyo saa zingine fikra mbaya zinakuja kwamba au mwenzangu yupo na mtu now vipi hiyo huwa haufikirii??
acha ujinga toa ushauri.Poleni sana mabinti, msikate tamaa wala msisononeke kwa hili suala la umbali.Naomba mkijihisi wapweke mniPM naahidi kujitahidi kuondoa maswahiba yenu au walau kuyapunguza, tupo watu wengi sana humu jamvini wenye mioyo ya huruma na ukarimu kwa mfano Bujibuji, Ndoko, Nyaningabu, The Boss na wengine wengi. Personally naahidi kutojenga kibanda
hakikisha mawasiliano yanakua active sana
hv unaweza ukaishi vipi na mpenzi uliye mbali naye? yaani umfanyie vitu gani ili asikusaliti ktk love yenu?
hv unaweza ukaishi vipi na mpenzi uliye mbali naye? yaani umfanyie vitu gani ili asikusaliti ktk love yenu?