watu... circurmtances za mahusiana na wapenzi wao.... mda wa kua mbali... aina ya mahusiano... Vyoote hivi vimetofautiana from one relatiionship to another; hio yaweza pelekea kua sio ushauri mmoja waweza wafaaa woote. Kikubwa labda nigusie ki/vitu ambavo huchangia mtu kusaliti.
- Upweke as in ile hali ya kujisikia kama sasa huna umuhimu.. kama vile alo mbali wahisi hajali anymore. For kama tuelewavyo mpenzi ana nafasi kubwa ya kurejuvinate high spirits ndani yetu wanadamu.
- Hamu ya kimwili.. hii ni hasa ya wanaume. wanawake nao wapo but mara nyingi sio wanawake wengi wanabahati ya kufurahia/penda hilo tendo kua mpaka alimiss kwa mda mfupi.
- Communication break down... kati ya wapenzi, aither mmoja analega ama kutoonesha kujali....
- There may be more but niishie hapa...
Kitu gani mtu afanye asisaliti? Ni kazi saana kulijibu, Ukiwa na such an attitude ni as if umepanga kusaliti sasa ndo una nurse moyo wako kwa kujiuliza hilo swali....