Habari za mida wana Jf Mimi ni mwanaume alie timia sifa za kiume ninatafta mpenzi anae jitambua awe ni mkazi Wa kunduchi/tegeta ila awe anajitambua asiwe mdangaji
Sifa za mtaftaji
By professional I'm RN umri wangu 27
Mm ni Mrefu sio kibonge afu sio mweusi kivile hivo basi ninae mhitaji asiwe Mrefu kama Mimi taaluma yake iwe ya kawaida kwa mwanamke anae hitaji mpenzi ani pm kwa mawasiliano zaidi
Naomba kuwasilisha wana Jf