Mpenzi anahitajika kwa haraka

Mpenzi anahitajika kwa haraka

Abdallah M. Nassor

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2008
Posts
600
Reaction score
620
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu.

Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu ninaokutana nao kwenye daladala au mtaani kuhofia kuonekana tapeli au kibaka pamoja na ugumu wa mtu 'stranger' kuomba namba na kupewa.

Sehemu pekee ya kupata demu 'live' ni bar pekee jambo linaloniwia ugumu kwenda kuzengea kwani mademu wale sio wa kutulia nao.

Hivyo basi nimeona nimtafute humu katika jamvi hili kwani kuna uwezekano mkubwa wa kumpata 'soulmate' wangu ambaye nae anahitaji mtu wa kutulia nae na kuanza maisha mapya ya baba na mama. Sina vigezo zaidi ya mwanamke anayejitambua na mwenye upendo wa dhati.

Karibuni wadadaz waremboz tuyajenge.
 
Wewe ni domo Zege
 
Hapo ulipo tu unaonekana hufai. Eleza kwanza sababu za kuachana na mkeo
Sababu za nini? Mie nimefunzwa kutotoa siri za ndani. Unataka kesho nikiwa na ww tukaachana nianze kutanganza ulikuwa una kasoro hizi na zile, hapana sio ustaarabu na siko hivyo. Kama unataka njoo hutaki pita kushoto
 
Kiufupi huwezekani

Na hata huo mpango wa kupita kulia sina aisee
 
who is a chicken head between the two of us?
brother hunijui sikujui. Be tolerant ndugu, Kila member ana uhuru wa ku-express atakavyo bila kumkwaza mtu. Sasa naona wewe kama umekwazika mno kwa hii post yangu hii eti eeh?
 
nikwazike kwa kipi? Nimetoa maoni yangu ukaniita kuwa nina brainless head.
Mi mkongwe JF nimekutana na Mengi mazito, kunikwaza ni vigumu mno
 
Back
Top Bottom