Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Karili = KARIRI
Endelea kuokoteza njiwa waliovunjwa mbawa... kumbuka kuna mti unaitwa MKENGE una desturi kuota pembezoni mwa njia...
Endelea kuokoteza njiwa waliovunjwa mbawa... kumbuka kuna mti unaitwa MKENGE una desturi kuota pembezoni mwa njia...
Maisha yamebadirika mkuu,usikarili sasa ni kufunguka tu na kupokea hitaji lako,ngojera waachie form 2