Mpenzi au mke wako akibakwa...


Je kama ukibakwa na ikapelekea ukapata ujauzito utafanya nini?

Tausi mie nadhani nitasema na kwa sababu nitakuwa naongea ukweli toka moyoni vile kitendo kimetokea sikupenda kinitokee..
Nitamwambia ukweli liwalo na liwe ...kwa mfano nisipomwambia nikakamata preg ndo naanza kuelezeaje na kama mbakaji ameambukiza ngoma
?Nadhani ni vyema kuliongea mapema kabla tatizo halijawa kubwa zaidi
 
Nitamwambia ili kama nimepata maambukizi nisimwambukize, na pia kama madhara makubwa si itajulikana tu coz nitahitajika kupelekwa hospital
mie nasema kabisa
 
Mi nitasema ingawa mwanaume mwingine anaweza asielewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…