Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Shikamoo Wanaume, wenye Uume ๐ช๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nasema hivi, wanaume wenye Uume shikamooni๐๐๐๐๐njoo tuongee kuhusu pesa niwekeze kwenye mapenzi afu kesho tuongee kuhusu presha
Marahabaa.Me nasema hivi, wanaume wenye Uume shikamooni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
marhabaMe nasema hivi, wanaume wenye Uume shikamooni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nawapenda Sana na kuwakubali munoo๐ฅโค๏ธ
nipe basi ile kitu imemeza ingine.Mimi nawapenda Sana na kuwakubali munoo[emoji91][emoji3590]
Wanaume wenye Uume Mungu AWABARIKI Sana KAZI mnayoifanya NI njemaDunia hii haiko sawa kabisa,kuna wanaume wamebebeshwa mizigo na wanawake zao mpaka utawahurumia,bila pesa hakuna mapenzi...na ndicho kinachowaua wengi wao kutokana na msongo wa mawazo
Me bado nawaheshimu wanaume wenye UUME๐ชโค๏ธ๐ฅYaani hapo mgongo unauma,kiuno kinauma,mikono ndo usiseme
..halafu jiooooonii unavuta 10,000 yako unaondoka,umasikini huu !
๐๐๐๐๐ Nimecheka Sana kidogo nigonge gari ๐๐๐๐Halafu cha ajabu unatuma kumbe umewatumia wale jamaa wa "ile hela tuma kwenye namba hii"๐๐คฃ
Hapo unaweza elewa kwanini msondo waliimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika๐
Hahahahahahah jaman ๐๐๐๐๐
Hii NIMEIPENDA๐๐๐Marahaba mwanamke mwenye uke