Mpenzi (Baby) nitumie Ile hela niliokuomba wiki iliopita nikasuke

Mpenzi (Baby) nitumie Ile hela niliokuomba wiki iliopita nikasuke

Kazi ya kuhudumia ni ngumu,ila kazi ya kupiga mpini tunaweza kwa 100%+
Pigeni tu
Ila msijali kilio chenu kimeshafika Kwenye Kiti cha Enzo Mbinguni kabisa, kule Kwa mwenza WA yote
Yani skuhizi wanaume mnalia sana, Yani Kila napopita wanaume wanalia mnooo, Karne imekata naskia wanaume wanalia mnooo
Mungu atawafanyia wepesi asee, poleni sana
 
Yaani mkuu hii ilinitokea 2008..nilichimba msingi wa nyumba kutwa nzima...nakumbuka nilikula mandazi na koka tu..maandazi ya 2000 lkn mwili ulichoka haswa...wakati wa kwenda nyumbn sikuweza hata kubeba sururu..usiku manzi akaja..nikampa elf tatu katika elfu kumi nliyopata..alibweka sana....na sikula hata mzigo siku hiyo.
Yaani hapo mgongo unauma,kiuno kinauma,mikono ndo usiseme

..halafu jiooooonii unavuta 10,000 yako unaondoka,umasikini huu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom