Mpenzi (Baby) nitumie Ile hela niliokuomba wiki iliopita nikasuke

Dunia hii haiko sawa kabisa,kuna wanaume wamebebeshwa mizigo na wanawake zao mpaka utawahurumia,bila pesa hakuna mapenzi...na ndicho kinachowaua wengi wao kutokana na msongo wa mawazo
 
Yaani hapo mgongo unauma,kiuno kinauma,mikono ndo usiseme

..halafu jiooooonii unavuta 10,000 yako unaondoka,umasikini huu !
 
Halafu cha ajabu unatuma kumbe umewatumia wale jamaa wa "ile hela tuma kwenye namba hii"πŸ˜‚πŸ€£
Hapo unaweza elewa kwanini msondo waliimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaikaπŸ˜…
 
Halafu cha ajabu unatuma kumbe umewatumia wale jamaa wa "ile hela tuma kwenye namba hii"πŸ˜‚πŸ€£
Hapo unaweza elewa kwanini msondo waliimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaikaπŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka Sana kidogo nigonge gari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…