Mpenzi kukuomba pesa ya sherehe ukiwa mgonjwa. Huyu ni mwema kweli?

Mpenzi kukuomba pesa ya sherehe ukiwa mgonjwa. Huyu ni mwema kweli?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.

Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?

1628670309651.png

Kuumwa kwako sherehe inasimama?

Tatizo sio mwenza wako, tatizo ni jamii ya sasa tumejijengea tabia za ajabu, ajabu.., huo mchango wa send off ni kama deni, asipochanga hapo huenda hata akatengwa..., au kama wewe ulishachangiwa hivyo na wao wamekuja kuchukua zamu yao imefika....

Huenda yeye ndio yupo kwenye firing line, ingawa huwa mnakopa nyote (kuomba michango) lakini lawama zinakuja kwake tu, hivyo anapunguza kero za kesho...

Kwa ushauri tu tuachane na hizi tamaduni za ajabu ajabu za kuingizana kwenye gharama kwa vitu vya kupita.
 
Kwani ukitengwa unapata hasara gani kwa watu wapuuzi kama hao?
 
Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.

Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?

Hapo haihitaji kua na Yellow Card ili umpatie Yellow Card ingine ndio iwe Red Card, bali hilo ni kosa la Straight Red Card aisee.
 
Mkuu unataka kujua kipi ni sahihi au yupi ni sahihi.!????

Anaweza akawa sahihi au asiwe sahihi pia...

Ongeza nyama kidogo,,, japo wanawake ni mashetani.
 
Ifanye hiyo kama usahili, usimpe hela, alafu uone reaction yake.

Baada ya sendoff utajua kama usuke ama unyoe.
 
Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.

Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?

Duuh. Hii imenikumbuamsha mwaka 2016 kuna demu ilikua na mpenda saana. Siku moja naumwa akanipigia tukasalimiana vzr nikamwambia mwenzio naumwa. Hakujali kama hajanisikia. Nikarudia tena naumwa, haku respond kuonesha kujali. Akaanza kuomba hela nkamwambia nimekuambia naumwa au hujanielewa. Aisee alichokibu kilinipa jibu la mwisho kuwa mm na yy by by. Alijibu hivi mimi nahitaji hela nimwambie nani..? [emoji23][emoji23] nilimjibu tu vzr mm sijakuoa hivyo sio mzazi wako sawa.. na hela yangu ni ya kwangu acha iniuguze sikutumii uza nyapu yako.. ikawa by byy miaka 3 mbele akanitafuta kuniomba msamaha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom