Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sitaki kuongea sana.Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.
Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
Kama anawaonea huruma hao wenye sherehe aende akakope sehemu nyingine akapeleke sio kumsumbua mgonjwa.Kuumwa kwako sherehe inasimama ?
Mpe pesa!!!Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.
Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
Kwani ukitengwa unapata hasara gani kwa watu wapuuzi kama hao?Kuumwa kwako sherehe inasimama?
Tatizo sio mwenza wako, tatizo ni jamii ya sasa tumejijengea tabia za ajabu, ajabu.., huo mchango wa send off ni kama deni, asipochanga hapo huenda hata akatengwa..., au kama wewe ulishachangiwa hivyo na wao wamekuja kuchukua zamu yao imefika....
Huenda yeye ndio yupo kwenye firing line, ingawa huwa mnakopa nyote (kuomba michango) lakini lawama zinakuja kwake tu, hivyo anapunguza kero za kesho...
Kwa ushauri tu tuachane na hizi tamaduni za ajabu ajabu za kuingizana kwenye gharama kwa vitu vya kupita.
Hapo haihitaji kua na Yellow Card ili umpatie Yellow Card ingine ndio iwe Red Card, bali hilo ni kosa la Straight Red Card aisee.Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.
Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
Duuh. Hii imenikumbuamsha mwaka 2016 kuna demu ilikua na mpenda saana. Siku moja naumwa akanipigia tukasalimiana vzr nikamwambia mwenzio naumwa. Hakujali kama hajanisikia. Nikarudia tena naumwa, haku respond kuonesha kujali. Akaanza kuomba hela nkamwambia nimekuambia naumwa au hujanielewa. Aisee alichokibu kilinipa jibu la mwisho kuwa mm na yy by by. Alijibu hivi mimi nahitaji hela nimwambie nani..? [emoji23][emoji23] nilimjibu tu vzr mm sijakuoa hivyo sio mzazi wako sawa.. na hela yangu ni ya kwangu acha iniuguze sikutumii uza nyapu yako.. ikawa by byy miaka 3 mbele akanitafuta kuniomba msamaha [emoji23][emoji23][emoji23]Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi.
Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?