Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Kha!!!? kumekucha
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..
NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani

kha!!!? Kumekucha
alafu ujue wewe una kiherehere sana, kama vipi unataka ligi, basi umenipata....mie ni bon hia hia, kwa hiyo ligi naiwezea sana
in love in two wks?
ok
Mmmh. Una maana Holland u cannot have a goodtime ndo utafute bongo. Behaviour that gives m a bad name...
anatafuta mtu wa kule naye Uroda kwa kipindi cha wiki mbili
kweli jaman
kweli jaman
vijana wa siku hizi kwa kupenda kulelewa! eti mtu mzima?!
ndio nataka mtu mzima kwa ajili ya kufanya nae mapenzi. sitaki changu; nataka mt mwenye heshima zake