Mpenzi likizoni (mtu mzima)

Mpenzi likizoni (mtu mzima)

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..

NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani.....MWANAMKE SIYO MWANAMME....... SIFANYI USHENZI HUO....NO MWANAMME
 
mmmhh!!! siyo bure una matatizo wewe.........
 
Mtu mzima mwanamke? Mwanamme? Ms**ge? Basha? Na wewe ni yupi kati ya hao?
 
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime………..

NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani

To be in love in 2 weeks? are you serious?
 
mtu mzima wa jinsia gani?......una hela ya kutosha?......usije ukalia ujue
 
...Inanikumbusha sredi ya BAK, no strings attached. kila la heri mwingereza wa holland.
 
Mmmh. Una maana Holland u cannot have a goodtime ndo utafute bongo. Behaviour that gives m a bad name...
 
Rose c umtafute yule mkaka mwnye mahacra yke aje a2saidie kumjb huyu! C akfka aende ile mitaa ya machangu atampata huyo m2 mzm mwnzie? Humu Jf wte 2na wa2 wazma wnze2 so hawez ambulia!
kweli jaman
 
vijana wa siku hizi kwa kupenda kulelewa! eti mtu mzima?!

sure......:disapointed: uchumi mbaya, masista duu wanatoka na mababa zetu, wat choice do we have!!! TUNAPENDA MAJIMAMA!!!! :love: I NEED 1 TOO!! :help:
 
Kwel unadhan humu JF kuna huyo m2 mzma? Duuuu! Hii yko kal ndg yng! Endlea kusubr huez jua bahat itakwngukia sa ngp!
ndio nataka mtu mzima kwa ajili ya kufanya nae mapenzi. sitaki changu; nataka mt mwenye heshima zake
 
Back
Top Bottom