Kwako Mahabat wa Kasie....
Usipate taabu u Mahabt, uliyoyafanya sio mageni hapa Duani ehee! Mahalat!
Ikiwa kupendana babaa ,Wapo waliopendana kama watoto mapacha! Sweetie,
Ikiwa ni mapenzi ii babuu wapo waliopendana kama kumbi kumbi Dadiii!
Kumbi kumbi ooooh!
Wanapendana sana hata wakati wa kutembea utawaona ! bibi mbele( Kasie) bwana nyuma!(Mahabat Dadii)
Lakini sio ajabu kwani hata wao hutokea wakati wakakosa kuelewana....
Tena kwa kiapo oo Dadii, sembuse mimi na wewe......
Ingawa roho iliuma, ooh babaaaa uliponiezea
kwamba mwanamke uliyezaa naye yupooo ......
kwa hiyo nisije nyumbani kwako, hata kazini nisikufuate .... (Daaah)!!!
Hata kusalimiana na mimi hutaki japo twafahamiana eee ... (roho inaumaaa)
Hata shemeji zako Kitimtim na Ngule niliwatuma waje wakupe salam zangu sweetieee
Oh!Dadii Oh Mpenzi naumwa!
Oh!Dadii Oh Mpenzi upepo!
Sina neno mimi, kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio.....penzi upepo!
Ipo siku eeehh (naamini) utakuja kwa wazazi wangu Mahabat...
Ulete barua ya uchumba ooh..
Tufunge ndoa na wewe.....penzi upepo....
Kasie... (Nyonda-ako)