Mpenzi Mahabat wa Kasie....

Mpenzi Mahabat wa Kasie....

72517b41d8ba6180c59386d8291f906f.jpg

Seenchuuu. ..... it's an art you know.....🙂
 
tatzo, mpka waje hao uwapendao hata sisi tukupendao tupe nafasi, ili tuzisogegze isia mpka utupende ili mambo haya yasiwe ya msimu Babie kassie!

Hahahahahaa haya subiria hisia zije
 
Jimmy uunh.....the military dude right?

I thought it was just a story...kumbe ilikuwa kitu cha ukweli...damn you 😎 !!!
Albelari ni jina la mahali niliendaga zamaniii.....
Kama ulishawahi msikia James Jeddah. ... basi anahusika na huko pia.
 
Jimmy uunh.....the military dude right?

I thought it was just a story...kumbe ilikuwa kitu cha ukweli...damn you 😎 !!!

Hahahahaaa yaani hujaachaga uchokozi wako tuu eeh ehehe hehee

Huyo ndo Kasie mahabuba Nyonda-ake JJ

Mara ya kwanza aliniambia niende Cape Town Fish Market...... guess what happened. ..... hahahahahahahahaaaa

Ngoja asome hapa kisha aseme Kasie mie nilienda wapi aahahahahhahahahaaaa sitasahau safari ya Cape Town Fish Market looh...... nampendaga sana huyu JJ mwenyewe ananiita Nyondaa-anguu. .... na mie naitika Rabekaa.
 
Harufuuuuu. .......

Unikumbusha huu wimbo.....

Nau dedicate kwa anayeniita Nyonda-ake Kasie. ..

Kasie.

Ahsante sana kwa Kibao Murua na Maridadi.

Kwa kweli kimenikonga roho yangu.

😎😎😎😎😎
 
Kasie.

Ahsante sana kwa Kibao Murua na Maridadi.

Kwa kweli kimenikonga roho yangu.

😎😎😎😎😎
Karibuu ila kimekukonga roho na emoji za kususa heheheh
 
Karibuu ila kimekukonga roho na emoji za kususa heheheh
Wewe hufai.

Umestukia kumbe!

Si unajua ile Mtu akiwa anasema, "Haya bwana".

Umejua amekubali ila kwa shingo upande
 
Wewe hufai.

Umestukia kumbe!

Si unajua ile Mtu akiwa anasema, "Haya bwana".

Umejua amekubali ila kwa shingo upande

Hahahahaaa looh nimeonaa shukrani ya shingo upande, umenikumbusha ule uzi tulisemeshanaa ukaniletea a cup of hot chocolate nami nikakupa ma emoji ya tabasamu murua.

Ila kipindi kile ulikuwa unapata kana mida minene sana yaani usiku mkali... leo vipi uko off?

Missed you hata hivo....
 
Ahsante sana.

Umenifanya na mimi niukumbuke Uzi wetu uleeeeee wa Samaki🙂.

Leo kidogo sijatingwa sana nna unafuu wa kupata muda wa Kuperuzi kama hivi.

Ila leo mida yangu (Usiku mkali) sitokuwepo nna kamtoko
 
Hahahahahahaaa samakii. .... ya mkia eeeh chezesha mkia eeh... hehehehehehe

Natumai mtoko wako ulikuwa barabara na uliburudika. Kazi njema.
 
Hili bandiko limekuwa encrypted na lugha flan nisiyoielewa... Nimesoma wee lakin nimetoka empty
 
Back
Top Bottom