Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

mwanatz

Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
18
Reaction score
2
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 36,elimu ya chuo kikuu,mkristo, mrefu, maji ya kunde.
Natafuta binti ambaye atakuwa mpenzi wangu,mchumba na hatimaye mke.
Binti awe mkristo na awe na elimu kuanzia form four,asiwe na mtoto (nami sina mtoto) na awe msikivu na mwelewa.
Kwa aliye tayari naomba anipm na huko tutafahamishana mambo mengine kwa uzuri.
 
unebugi men!!! haoa jf wapo wanaopoteza muda tuu....hamna wife material hapa.
 

naomba time limit ya huo upenzi, uchumba hadi mke,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mengine yatafuata ukijibu haya
 
naomba time limit ya huo upenzi, uchumba hadi mke,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mengine yatafuata ukijibu haya

Time limit ni kati yaa miezi 6 na miezi 12 tangu hatua ya awali mpaka hatua ya mwisho, inadepend na jinsi huyo mtu atakavyosomeka kwa urahisi au kwa ugumu(uchunguzi wa kuhakikisha makucha hayafichwi)
 

nipo hapa tayari
 

Pole mkuu naona huna soko kweli umekosa kupata demu mashuleni huko toka unasoma mpaka kitaa pole sana
 
Teh!!! ndioooo nami mmoja wapo.......

basi usipige kelele...wewe muonyeshe kuwa u different from the rest atakukubali tuu ila naomba usije ukagegedwa bure hahah kumbuka maneno ya lara 1 lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…