HujaseviwaNgoja nisome comments tu
My Soulmate β€πππππKwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk
Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"
Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??
Karibu
Tafuta usije ukatufia bure..πNgoja nisome comments tu