Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemsave pimbi kwa kuwa wapo wengine wengi hawajui na ninawapa dozi mpaka hapa JFKwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk
Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"
Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??
Karibu
We umemsevuje?Nasoma comments...
Nani??We umemsevuje?
DogmilleageKwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk
Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"
Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??
Karibu
[emoji23]Nimemsave pimbi kwa kuwa wapo wengine wengi hawajui na ninawapa dozi mpaka hapa JF
Mapenzi haya ukute mtu nila kujua anakusev fundi gereji😂😂😂😂Ambao hatujaseviwa tunakomenti wapi
Mke wangu Mwaka nili save namba yake kwa Jina la Radi.. ila mwaka huu nime save kwa jina lake alilopewa na wazazi wakeKwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk
Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"
Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??
Karibu
La zamani[emoji5][emoji846][emoji846]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahNilimsave barafu wa moyo jua likamyeyusha akayeyuka