Mpenzi/mke/mume umemsave/amekusave jina gani?

Kwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk

Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"

Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??

Karibu
Nimemsave pimbi kwa kuwa wapo wengine wengi hawajui na ninawapa dozi mpaka hapa JF
 
Kwa kawaida wanandoa,, au wapenzi wanatabia ya kuseviana majina kwa mitindo tofaut,, wengine kwa mitindo ya kimahaba mathalani Honey,, switie nk,, wengine wamesave Baba fulani au mama fulani,, wengine majina ya vituko Kama vile Mbwa ( Kama mmoja kati ya wadau wa JF alivyotushudia), paka, kenge, nguruwe, muuza mkaa nk

Binafsi Mimi nimemsave simple tu "wife',, pia yeye kanisave "Husband"

Je wewe mpenzi wako umemsave/kakusave jina gani??

Karibu
Dogmilleage
 
Mke wangu Mwaka nili save namba yake kwa Jina la Radi.. ila mwaka huu nime save kwa jina lake alilopewa na wazazi wake
 
Line one.......Bossman
Line two........Arrie (jina lake)
Yeye kanisave line one.....my woman
Line two kaweka jina langu
 
Back
Top Bottom