Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukwel huyu mwanamke hana maadili ya kitanzania kwa matendo kama hayo ya kifuska anayo yafanya
Yaani wanawake kama hao hatuwatak nchini kwetu maaana wanaongeza kuporomokq kwa maadili kwa vijana wetu[emoji41][emoji41]
Hii Id yako mwandiko nautilia mashaka...,i think nafahamu nje ya hapa hii Id...Hana maadili ya Kitanzania ila ana maadili ya Ki windhoek au ki walvis bay mbwa wewe
Who are u to judge him.?Uyo diamond mwenyewe ni mfuska