Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahaaaa
Eti, hata sabuni ya kuogea akaombe kwa baba wakati umetoka kumchafua wewemjuba ushamchafua mtoto wa watu utamuachaje ivi ivi na hamuishi wote
Kwahiyo wewe kazi yako inakuwa ni kupiga mashine tu ?Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi.
Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi.
Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka anafurahia mapenzi huyo ndio mpenzi.
Mapenzi ya rami na kiatu ni ya dunia isiyostaarabika. Mmoja ndio huumia huku akijiona amewini.
Namhurumia sana mwanaume anayejisifu kuwa anapendwa na demu fulani huku hakuna siku amewahi kumgonga bila shekeli kutembea.
Kwahiyo wewe kazi yako inakuwa ni kupiga mashine tu ?
Pesa za vipodozi, pedi, sabuni, make up atoe nani ?
Ninyi ndio huwa mnazalisha wanawake halafu watoto watajijua wenyewe.
Halafu watu kama ninyi mnapenda ngono [emoji527][emoji527][emoji527][emoji527] balaaa.
Binafsi sikubaliani na TAMAA ila kumpa mpenzi wako pesa ni Jukumu lako.
Ungemkuta kachoka, wala usingemtongoza