Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Jibu lako limejibu mashaka yangu kuwa ww na manzi tena unabonge la msambwanda laki pueto rico

Kama na ww unachuchuma kwanini unakuwa na beef na shoga zako.

Si uwaringishie tu saresare maua
My mchai chai mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
madhara yapi?

Hunijui sikujui.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Naona kiki niliyokupa inakutosha kwa leo.


Hance Mtanashati sio mtu wa mchezo mchezo
Hatimaye kibarua kisicho na malipo kimefika kikomo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yes sikujui ila nafurahi maana siku yakwanza nimejiunga ulitambua kwamba QUEEN Amejiunga.[emoji16]
Asante kwa kutambua uwepo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
poa boss...nimekuwa namsaka sana ila kila nikiwa online simuoni ila fresh
Moderators wapo wengi mbona

Unaweza ukawatumia hata wengine.

Ingawaje invisible ndiye aliyekabidhiwa na uongozi wa JF aongoze jukwaa hilo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kua mimi shosti!
Yaani watu kwa kufosi vitu!!!!


Wewe mama nilkumiss sana, unaachaje vibaka watumie account yako na wewe??
 
Tena akafungua na uzi!! Hiyo ndio siku ya kwanza namuona jf, nikawaza huyu mtoto inamaana kajiunga jf kwaajili ya kutoa taarifa isiyomuhusu?!!! Nikaambiwa ni member wa muda tu. Nikajipitia tu.
Hahahaha[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Tumwazime dela.
 
Back
Top Bottom