My mchai chai mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jibu lako limejibu mashaka yangu kuwa ww na manzi tena unabonge la msambwanda laki pueto rico
Kama na ww unachuchuma kwanini unakuwa na beef na shoga zako.
Si uwaringishie tu saresare maua
Kumbe kuna Hance wanawake[emoji15] [emoji15] [emoji15] nilikuwa sijui.Kumbe ulijua ni mwanamke?? H
Haha hahaha hata Mimi mwanzo nilijua ni mwanamke nikaona sehemu kajitambulisha kama mwanaume.
Au ni mwanamke mwenye I'd ya kiume .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye kibarua kisicho na malipo kimefika kikomo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]madhara yapi?
Hunijui sikujui.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Naona kiki niliyokupa inakutosha kwa leo.
Hance Mtanashati sio mtu wa mchezo mchezo
poa boss...nimekuwa namsaka sana ila kila nikiwa online simuoni ila freshMfuate PM invisible akuunge.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha bora aibiwe na alshabab kuliko watu wasiojulikana
Nawe pia maadhal umeomba radhi basi umesameheka karibu tena jamvinAsante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...
Usiku mwema.
Anything just to put a smile on you mchaimchai[emoji41]My mchai chai mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moderators wapo wengi mbonapoa boss...nimekuwa namsaka sana ila kila nikiwa online simuoni ila fresh
Kinyume na sheria za jf kivipi?[emoji106] ila ni kinyume cha sheria za JF na pia zinatukwaza members
Kama unavutiwa nazo awe anakutumia inbox.
Mimi Nina mashaka wewe ni ke kwa I'd ya Me ngoja tafute evidenceKumbe kuna Hance wanawake[emoji15] [emoji15] [emoji15] nilikuwa sijui.
Jf ina mambo mama, lolote laweza kuwa.Kumbe ulijua ni mwanamke?? H
Haha hahaha hata Mimi mwanzo nilijua ni mwanamke nikaona sehemu kajitambulisha kama mwanaume.
Au ni mwanamke mwenye I'd ya kiume .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jukwaa la mambo ya kikubwa haliruhusu picha za mapenzi ya jinsia moja na picha za watoto chini ya miaka 18.
Hahahhahaha[emoji16][emoji16][emoji16].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kua mimi shosti!
Yaani watu kwa kufosi vitu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa kua mimi shosti!
Yaani watu kwa kufosi vitu!!!!
Okay shost /brother.Jukwaa la mambo ya kikubwa haliruhusu picha za mapenzi ya jinsia moja na picha za watoto chini ya miaka 18.
Nenda kwenye stick thread aliyoanzisha mkuu invisible ukatazame upya sheria za jukwaa lile.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Anything just to put a smile on you mchaimchai[emoji41]
Kumbe ndiyo maanaOkay shost /brother.
Usiku mwema
Hahahaha[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Tena akafungua na uzi!! Hiyo ndio siku ya kwanza namuona jf, nikawaza huyu mtoto inamaana kajiunga jf kwaajili ya kutoa taarifa isiyomuhusu?!!! Nikaambiwa ni member wa muda tu. Nikajipitia tu.
Evidence ya nini na wakati alichoandika hapa ni cha kike? Hiyo ni evidence namba moja kuonyesha yeye ni mwanamke