Wana mbwembwe hawa heeeheee..naona mkuu uvumilivu umekushinda [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mshaniharibia tayari uzi wangu, tokeni mkatekenyane huko chitchat..
Nyambaf..
Kuwa na adabu kwa wakubwa zako.Umeenda kuleta fekero liku support?
Mpumbavu hata umweleweshe huwa haelewi.
Hata kukaa kimya ni jibu pia.Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...
Usiku mwema.
Ndo yeye aliweka zile picxxx flan iv???
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...
Usiku mwema.
nswe una hamu ya kuchambwa eeh[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nani anichambe kwan nimekosea?? Ndo ilivo,nswe una hamu ya kuchambwa eeh[emoji38] [emoji38] [emoji38]
huogopi kichambo?
Wewe mtoto mimi sio demu sawa? mimi wewe nakuzaa huku nafua upo?yaani huyu mondy ni mademu tu wanamsumbua kichwa maana akina
linamo
espy
mbitizya
kapeace
khantwe
carbamazine
sakayo
hevean sent
bibo
shunie
na kuendelea
hawajatosheka sasa tu
duhh nakushauri nenda pale kimboka utapata tensome
Tena ukome kunitaja kwenye vitu vya ajabu sawa mtoto mzuri?yaani huyu mondy ni mademu tu wanamsumbua kichwa maana akina
linamo
espy
mbitizya
kapeace
khantwe
carbamazine
sakayo
hevean sent
bibo
shunie
na kuendelea
hawajatosheka sasa tu
duhh nakushauri nenda pale kimboka utapata tensome
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti unamzaa huku unafua.
Ila mkuu nadhani sisi sote kwa nyakati tofauti tofauti tunafanya makosa.Ile picha kwa kweli haikuwa na staha, alionyesha kuwa 'limtokalo mtu ndilo linaloujaza moyo wake'.
Alistahili ban tena angepewa ban ya mwaka kabisa.
Alifanya kitendo gani mkuuKaribu tena Paprika kile kitendo ulichofanya kipindi kile kilinisikitisha sana
Mkuu, kuna tatizo gani wewe/mimi kuangalia porn faragha? Au hapo kuna unafiki gani? Faragha yako /yangu haihusiani na yoyote. Na wala sio unafiki kusema kwa vile naangalia porn faragha nisimseme huyu.Ila mkuu nadhani sisi sote kwa nyakati tofauti tofauti tunafanya makosa.
Yes alikosea na ameadhibiwa basi itoshe asamehewe maisha yaendelee.
Tuache kuhukuiana Sana, pengine kosa lake kubwa inawezekana ni kwa kuwa alijitenga na "unafiki" wetu wa asili. Yawezekana miongoni mwetu kuna waliokemea Sana kinafiki wakati wakiwa faragha wanaangalia porn videos za namna hiyo hiyo.
Nikiri kukuelewa baada ya ufafanuzi huo Mkuu.Mkuu, kuna tatizo gani wewe/mimi kuangalia porn faragha? Au hapo kuna unafiki gani? Faragha yako /yangu haihusiani na yoyote. Na wala sio unafiki kusema kwa vile naangalia porn faragha nisimseme huyu.
Nasikia kuna jukwaa mahsusi kabisa kwa picha za mchele, ndio maana sio wote waliopenda kujiunga huko, wanaotaka kuonyeshana wapeleke picha na namna hiyo huko.
Na ujuwe, hakuna anayehukumu, bali lazima tuambiane na mara nyingi sisi watz hatupendi kuambiana ukweli.
Ujidharau uheshimiwe na nani?[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kuwa na adabu kwa wakubwa zako.
Sikulaumu wewe kwa upumbavu wako najua ni Makuzi ndio yanasababisha uwe ulivyo.