Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...

Usiku mwema.
Hata kukaa kimya ni jibu pia.
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...

Usiku mwema.

Aseehh! Something is missing,
.
 
Mwenye picha aliyotuma paprika anitumie pm

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
yaani huyu mondy ni mademu tu wanamsumbua kichwa maana akina

linamo
espy
mbitizya
kapeace
khantwe
carbamazine
sakayo
hevean sent
bibo
shunie
na kuendelea

hawajatosheka sasa tu

duhh nakushauri nenda pale kimboka utapata tensome
Wewe mtoto mimi sio demu sawa? mimi wewe nakuzaa huku nafua upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani huyu mondy ni mademu tu wanamsumbua kichwa maana akina

linamo
espy
mbitizya
kapeace
khantwe
carbamazine
sakayo
hevean sent
bibo
shunie
na kuendelea

hawajatosheka sasa tu

duhh nakushauri nenda pale kimboka utapata tensome
Tena ukome kunitaja kwenye vitu vya ajabu sawa mtoto mzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile picha kwa kweli haikuwa na staha, alionyesha kuwa 'limtokalo mtu ndilo linaloujaza moyo wake'.

Alistahili ban tena angepewa ban ya mwaka kabisa.
Ila mkuu nadhani sisi sote kwa nyakati tofauti tofauti tunafanya makosa.

Yes alikosea na ameadhibiwa basi itoshe asamehewe maisha yaendelee.

Tuache kuhukuiana Sana, pengine kosa lake kubwa inawezekana ni kwa kuwa alijitenga na "unafiki" wetu wa asili. Yawezekana miongoni mwetu kuna waliokemea Sana kinafiki wakati wakiwa faragha wanaangalia porn videos za namna hiyo hiyo.
 
We psychiatrist nini? Sio kwa kunichambua huko....
I missed you papy. Finally you're here, welcome back. Hahah alafu babydoll ana kaubeba flani hivi cha cha ile mikoa yenye watoto weupe Paprika upo too soft in the heart na nahisi hii inaletwa na kutojichanganya sana na watu
 
Ila mkuu nadhani sisi sote kwa nyakati tofauti tofauti tunafanya makosa.

Yes alikosea na ameadhibiwa basi itoshe asamehewe maisha yaendelee.

Tuache kuhukuiana Sana, pengine kosa lake kubwa inawezekana ni kwa kuwa alijitenga na "unafiki" wetu wa asili. Yawezekana miongoni mwetu kuna waliokemea Sana kinafiki wakati wakiwa faragha wanaangalia porn videos za namna hiyo hiyo.
Mkuu, kuna tatizo gani wewe/mimi kuangalia porn faragha? Au hapo kuna unafiki gani? Faragha yako /yangu haihusiani na yoyote. Na wala sio unafiki kusema kwa vile naangalia porn faragha nisimseme huyu.

Nasikia kuna jukwaa mahsusi kabisa kwa picha za mchele, ndio maana sio wote waliopenda kujiunga huko, wanaotaka kuonyeshana wapeleke picha na namna hiyo huko.

Na ujuwe, hakuna anayehukumu, bali lazima tuambiane na mara nyingi sisi watz hatupendi kuambiana ukweli.
 
Nikiri kukuelewa baada ya ufafanuzi huo Mkuu.
 
Back
Top Bottom