Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mimi ni Baby doll tuu hamna cha kubadilisha boss.[emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu hata hainiumi coz siwezi badilika kufanana na mawazo yao[emoji119][emoji119][emoji119]
 
I missed you papy. Finally you're here, welcome back. Hahah alafu babydoll ana kaubeba flani hivi cha cha ile mikoa yenye watoto weupe Paprika upo too soft in the heart na nahisi hii inaletwa na kutojichanganya sana na watu
Unanisingizia mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi soft pia ila siyo paprika[emoji4][emoji4]
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...



Usiku mwema.
Nilikumiss
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...



Usiku mwema.
Mungu anakuona..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…