Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Ila mimi ngoja nimtetee babydoll mwanzoni alivokuja nilizani ni Paprika ila nikaja gundua utofauti,... Paprika comments zake ni kama mtu mwenye huzuni,upweke na frustration ila Babydoll ni mchangamfu na anaejitegemea mawazo,... Kwa iyo Paprika sio babydoll
Mimi ni Baby doll tuu hamna cha kubadilisha boss.[emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu hata hainiumi coz siwezi badilika kufanana na mawazo yao[emoji119][emoji119][emoji119]
 
I missed you papy. Finally you're here, welcome back. Hahah alafu babydoll ana kaubeba flani hivi cha cha ile mikoa yenye watoto weupe Paprika upo too soft in the heart na nahisi hii inaletwa na kutojichanganya sana na watu
Unanisingizia mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi soft pia ila siyo paprika[emoji4][emoji4]
 
Wewe mtoto mimi sio demu sawa? mimi wewe nakuzaa huku nafua upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
thHTYY7G4W.jpg
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...

Usiku mwema.
Nilikumiss
 
Asante Mondray!
Kwa wengine wote samahani kwa kitendo kilichofanywa na ID hii. Najua sistahili msamaha wenu ila naomba msamaha tena.
Sijawai changia humu na ID zaidi ya hii...

Usiku mwema.
Mungu anakuona..!
 
Back
Top Bottom