Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Mpenzi Paprika karibu sana , Tuli/Nilikumiss sana Dear..!!

Who is she na alifanya alikua wapi!??
 
Shukrani kwa taarifa Mkuu, huyu bi dada ni kichwa wengi humu tunapenda kumsoma. Alikosea tu na kwa maoni yangu hakustahili kifungo cha muda mrefu hivi. Tangu June hadi September! Mh!

Naogopa kutoa privacy za mtu ila ukiangalia ID yake haipo Banned, punde atajumuika humu..
 
Thibitisha mkuu..
OK.


Screenshot_2017-09-09-19-20-58.jpg



Screenshot_2017-09-09-19-20-15.jpg



Angalia mfano mdogo hapo.

[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom