Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi Tuliza moyo Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna changu Sherekea, furahia Penzi letu, baby Cheza, imba Mpenzi wangu, kichuna.