NA SIMLAUMU KWA KUKUBALI KWA KWELI!Hapo Itakuwa Demu ndiyo kamtongoza ben Kwa kisingizio cha kumwita kufanya shoo
apewe BENDERA KIJANA!
apewe BENDERA KIJANA!
ubalozi wake ni zalishi!
weee!A WOMAN IS A WOMAN...**** ni hiyo hiyo...yaani NYAMA NYINGI BUCHA.........1
au we unaonaje?hahhaaaa
mshika mapembe wa kutajwa kwenye interview!Asijekua mshika pembe tu
HIZI HOFU ZA KUTAKA relationship zote ziiishie kwenye ndoa ndo zinaharibugi kweli mahaba!Huyo demu hataweza kuja kuolewa na ben pol, Pen Pol hadi hapo alipo alitakiwa awe na miradi yake inayo eleweka kama diamond, huyo demu atakuwa anamtunza siku atamchoka atampiga chini
Mim nikutane na demu mwenye hela halafu anitongoze na mim hali yangu kupata buku tu ni mziki halafu huyo demu nimkubaliee? big no aisee hata kama hamna ndoaHIZI HOFU ZA KUTAKA relationship zote ziiishie kwenye ndoa ndo zinaharibugi kweli mahaba!
AKIMPIGA CHINI WHILE KASHAINJOI ,ataongeza akili hapo hapoa aangalie jingine!
ILA SWALA ZIMA LA KUTOKUINJOI KUHOFIA UTAACHWA!
HIYO NDO HAPANA!
so acha jilie ,likiisha liishe tu kama lilivyoanza!
kuna mawili, aidha hupendi HELA!Mim nikutane na demu mwenye hela halafu anitongoze na mim hali yangu kupata buku tu ni mziki halafu huyo demu nimkubaliee? big no aisee hata kama hamna ndoa
Unasemaaaaaa....!!!???Mim nikutane na demu mwenye hela halafu anitongoze na mim hali yangu kupata buku tu ni mziki halafu huyo demu nimkubaliee? big no aisee hata kama hamna ndoa
Mkuu kwa kiwango(muonekano) cha huyo binadamu, Ebitoke akilalama ntamuona zile komedi huwa haigizi bali ndio akili yake. Kuna vifaa ukichukua hata mkeo anaweza jisifu,"mchepuko wetu uko fine"Ebitoke atahitaji nasaha hapa ili asijiumize mwenyewe.
Mkuu ubongo ungekuwa wa kioo(transparent) huku mitaani tungekimbiana,maana kuna watu akili zao zinawatosha kuvukia barabara tu!Ebitoke katimiza ndoto zake kwa kutolewa bikira na kuachwa...Kweli kila mtu na akili zake
au we unaonaje?
mi mambo ya kujibanana bana sijui oh kamtongoza sijui nani kichwa cha nyumba!
NANI ANATAKA HIZO HABARI!
enjoy while it last!