mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Ben Pol si mpenzi wake ni Ebitoke? Au zilikuwa ni kiki tu?
Si kweli, Ebitoke alitaka tu kutimiza ndoto yake ya kutolewa ubikra na Ben Pol ili ajisifie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ben Pol si mpenzi wake ni Ebitoke? Au zilikuwa ni kiki tu?
Ni Naira au Rwanda hiki kifaa lazima kina damu ya kitusiBen hakauki Nairobi now days
Ile ilikuwa ni mpango wa biashara wa timamu tv kumpromote huyo dem kwahiy ben pol alilipwa ila alikamega kisela maisha yakaendeleaSi kweli, Ebitoke alitaka tu kutimiza ndoto yake ya kutolewa ubikra na Ben Pol ili ajisifie.
Akabidhiwe na bendera kabisa.Hii ni fursa ya kuzidi kuitangaza nchi yetu,apige show ya kibabe sasa nchi ipate sifa
Tawile Baba Tawile!!Huyo demu hataweza kuja kuolewa na ben pol, Pen Pol hadi hapo alipo alitakiwa awe na miradi yake inayo eleweka kama diamond, huyo demu atakuwa anamtunza siku atamchoka atampiga chini
Unaambiwa toka 2016 demu anamuota Ben..huyo mtoto wa kitajiri na yeye anazo zake..sio wale "mabosslady" wadangaji teh teh tehHuyo demu hataweza kuja kuolewa na ben pol, Pen Pol hadi hapo alipo alitakiwa awe na miradi yake inayo eleweka kama diamond, huyo demu atakuwa anamtunza siku atamchoka atampiga chini
Asituangushe kama Dimpoz wenzake wakina Harmonize,AY,Kiba,Diamond,Hussein Machoz wanatuwakilisha vyema na kupeperusha bendera ys nchi yetu kikamilifuUnamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya.
Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO wa campany ya Keroche breweries.
Thabita Karanja founder and CEO of Keroche Breweries, the largest locally owned brewery in Kenya, this outstanding business woman and award winning entrepreneur has built her fortune through a keen business sense and relentless determination. Her company has a turnover of KSh 1.5 billion (US14.4 million).
Hata hivyo binti huyo mwenye miaka 30 hakutaka kufanya kazi kwenye kampuni ya mama yake na kuamua na kuamua kuanzia kampuni yake ya maji NERO.
Been Pol na Anerlisa waliazisha uhusiano baada binti huyu kumkodi Ben Pol kutumbuiza kwenye event ya kampuni yake. Anerlisa amekiri kuishi na Ben Pol pamoja kwenye Mansion katika Safari zake zote za Nairobi wakati akihojiwa.
Kabla ya binti huyo tajiri Ben Pol alikuwa kwenye mahusiano na msanii wa vichekesho Ebitoke.
View attachment 950245View attachment 950248View attachment 950249View attachment 950252View attachment 950253View attachment 950255View attachment 950257View attachment 950258View attachment 950259
tuingie gym babu,halafu twende studio tukatoe ngoma mfululizo,mambo yatajipaDaah watu na bahati zao..
Kweli mzeebaba tujipe ma six pack huko gym halafu tukiachia dude!... mbona papuchi tutazila Sana!.. 😬tuingie gym babu,halafu twende studio tukatoe ngoma mfululizo,mambo yatajipa
Ebitoke ndio naniEbitoke atahitaji nasaha hapa ili asijiumize mwenyewe.
Google Ebitoke Ben Pol.Ebitoke ndio nani